Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Yani sana tu na tutafikaInapendeza.
Inapendeza.
Zaidi ya billion nane zilitumika kununua hii meli, mbaya zaidi ikatumika mara moja tuSi ndo Ile waliyopewa jwtz.
Bagamoyo-dar ilikuwa inatumia masaa 12
ilitumika mara moja tu?Hi ni miongoni mwa kashfa kubwa za Magufuli na CCM.
Zaidi ya billion nane zilitumika kununua hii meli, mbaya zaidi ikatumika mara moja tu
Hi ni miongoni mwa kashfa kubwa za Magufuli na CCM.
Zaidi ya billion nane zilitumika kununua hii meli, mbaya zaidi ikatumika mara moja tu
ilitumika mara moja tu?
Si ndo ile waliyopewa JWTZ.
Bagamoyo-Dar ilikuwa inatumia masaa 12
Mtoa mada haitakii mema JF.Yes, na tuliambiwa atakayeizungumzia atakuwa ameligusa jeshi kwenye maswala ya ulinzi na usalama wa nchi.
Aisee hatariiYes, na tuliambiwa atakayeizungumzia atakuwa ameligusa jeshi kwenye maswala ya ulinzi na usalama wa nchi.
Yes, na tuliambiwa atakayeizungumzia atakuwa ameligusa jeshi kwenye maswala ya ulinzi na usalama wa nchi.
Halafu Bado mnamshabikia Magufuli na CCMYes, na tuliambiwa atakayeizungumzia atakuwa ameligusa jeshi kwenye maswala ya ulinzi na usalama wa nchi.
Halafu Bado mnamshabikia Magufuli na CCM
Mkuu unawezaje kuongelea vitu vya JWTZ?MV DAR ES SALAAM
View attachment 1643635
Rais John Pombe Magufuli akiizindua meli ya MV DAR ES SALAAM.
Meli ya MV DAR ES SALAAM ilitengenezwa kwa nia ya kurahisisha usafiri kwa wakazi waishio kwenye fukwe za Bagamoyo na Dar es Salaam.
View attachment 1643636
Kampuni ya kutengeneza meli iitwayo Western Marine Shipyard (Hull WMShL-124) ilipokea oda kutoka kwa JGH Marine A/S, Denmark, kwamba iunde meli ya abiria ambayo iko kwa muundo wa aluminum body catamaran Mali ya Tanzania Electrical, Mechanical, and Electronics Services Agency (TEMSA).
Uundwaji huu wa meli ulikamilika na kukabidhiwa mwaka 2014 kwa wizara ya ujenzi
Vessel Type: Aluminum Body Catamaran Type Passenger Ship
Length OA: 37.54m
Breadth Molded: 11.5m
Depth Molded: 3.8m
Net Tonnage: 363.19 tons
Engine and Propulsion: 2x Yanmar 12AY-WET IMO Tier 2 1140kW at 1840RPM with 2x fixed-pitch propellers
Waterline Length: 31.84m
Draft: 1.7m
Gross tonnage: 471.98 tons
Complement: 300 person
View attachment 1643638
View attachment 1643639
View attachment 1643640
View attachment 1643641
View attachment 1643642