Je, unaifahamu meli ya MV Dar es Salaam?

iko wapi sasa mbona haionekani na nani aliieleta tum'bane atueleze alikoipeleka.. au ndo tumiingizwa CHAKABOVU
 
Bila shaka ulikusudia kusema Mnadhimu, na si huyo uliyemtaja
washasahau lile swala la kifaru bagamoyo...sasa ngoja mhadhini mkuu wa jeshi aione hii post...wabongo tunaishi sana kwa mazoea
 
Mkuu ilikatazwa kuizungumzia hii. Ni sawa na kuzungumzia vifaru.
 
Bujibuji mbona kutuumiza mioyo na kutukumbusha masononeko?

Kwa maslahi mapana ya JF na familia za baadhi ya watu, naomba Moderator mfunge huu uzi.

Agizo lilitoka juu kukataza kuongelea hiki chombo kwa vile sasa hivi ni mali ya jeshi.

Maxence Melo bado hajatulia na kuandamwa kwa kesi zisizo na msingi, tusiwaongezee matatizo mengine tafadhali.
 
iko wapi sasa mbona haionekani na nani aliieleta tum'bane atueleze alikoipeleka.. au ndo tumiingizwa CHAKABOVU
Ililetwa na mkuu Wa Nchi mzee magu, alivyoona ni kshfa kwake ili isiendelee kujadiliwa akaamuwa kuwapa wanajeshi

Sasa hivi hutakiwi kuijadili hii meli
 
Ililetwa na mkuu Wa Nchi mzee magu, alivyoona ni kshfa kwake ili isiendelee kujadiliwa akaamuwa kuwapa wanajeshi

Sasa hivi hutakiwi kuijadili hii meli
tuanzie hapa kuiadili tena maana hii nayo uhujumu uchumi pia wahusika washughulikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…