TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
POVA Neo ni toleo la bei nafuu zaidi la Tecno POVA 2. Sifa kuu za simu hii ni kioo kubwa na betri. Akizungumzia muonekano ina kioo cha inchi 6.82 chenye pikseli 720 x 1640, na sehemu ya mbele ya ina kamera ya selfie yenye 8MP.
Kwa ndani, Tecno POVA Neo ina processor kubwa kabisa ya MediaTek MT6762V ambayo ina 4×1.8GHz na 4×1.5GHz Cortex-A53 CPU. Pia simu hii ina 4GB RAM na 64GB internal storage, ambayo inaweza kupanuliwa hadi 128GB kupitia memory card.
Kwenye upande wa nyuma kuna Kuna kamera mbili, ile main kamera ina megapixel 13 na kamera ya pili ina megapixel 2, uku ikiwa na flash 4 za LED nne.
Simu hii inakuja na alama ya vidole ambayo iko nyuma ya simu.Bila kusahau simu hii imeboreshwa kwenye upande wa betri na chaji ambapo inakuja na betri ya 6000mAh na 18W za fast charging, huku ikiwa na Google Android 11, yenye HiOS 7.6 .
Maelezo kamili ya Tecno POVA Neo tembelea tovuti yetu: Product list