Je unaitaji mayai ya kware au vifaranga vyake na vya kuku wa kienyeji na uko Mwanza

Je unaitaji mayai ya kware au vifaranga vyake na vya kuku wa kienyeji na uko Mwanza

reg

Senior Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
176
Reaction score
97
Kwa maitaji yako ya vifaranga na mayai ya kware pamoja na kuku wa kienyeji tafadhali tuwasiliane, nipo Kirumba Wilaya ya Ilemela Mwanza.

No. 0753460642
 
Kwa maitaji yko ya vifaranga na mayai ya kware pamoja na kuku wa kienyeji tafadhali tuwasiliane, nipo kirumba Wilaya ya Ilemela Mwz
No. 0753460642
Kirumba ndio nyumbani mkuu. Nimecheza sana mpira hapo uwanja wa magomeni, hilo kanisa hapo pembeni ndipo nilikuwa nasalia.

Btw, mbali na kware na kuku wa kienyeji, kuna hawa kuku chotara, nasikia wana bidhaa bora sana, wenyewe hawapatikani?
Incase una detail zaidi unaweza nidokezea.
 
Back
Top Bottom