Kirumba ndio nyumbani mkuu. Nimecheza sana mpira hapo uwanja wa magomeni, hilo kanisa hapo pembeni ndipo nilikuwa nasalia.
Btw, mbali na kware na kuku wa kienyeji, kuna hawa kuku chotara, nasikia wana bidhaa bora sana, wenyewe hawapatikani?
Incase una detail zaidi unaweza nidokezea.