Johnkitime Blog
Member
- Mar 4, 2015
- 13
- 12
Mara nyingi huwa tunazipata picha za wasanii wetu waimbaji wakiwa wameshika microphone wanaimba au kuchana mistari. Kutokana na wao kuona picha za marapa wengine jinsi wanavyoshika maik nao huiga ushikaji huo. Bahati mbaya sana mara nyingi ushikaji wa maik huwa si sahihi hivyo sauti ambayo wasilikizaji wanaipata huwa mbovu, na si ile ambayo msanii mwenyewe unayoisikia kwenye CD au DVD yake au aliyoitayarisha wakati wa sound check.
Kwa mwanamuziki muimbaji ambaye anajali ‘professionalism' au taaluma yake na kujali kuwa lazima kazi yake iwe nzuri, utumiaji wa sahihi wa microphone ni muhimu.
Kwa mwanamuziki muimbaji ambaye anajali ‘professionalism' au taaluma yake na kujali kuwa lazima kazi yake iwe nzuri, utumiaji wa sahihi wa microphone ni muhimu.