maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
Ebu cheki baadhi ya michoro hiyo. Je sisi watu weusi ni sahihi kuitwa tulikuwa hatujui kusoma na kuandika?

Angalia picha ya tatu kuna helicopta ya kisasa na ya egyptian wanajf tuambizane mzungu alituharibu tuamke kizazi hiki siri yetu ilichukuliwa na wazungu leo wanajifanya ndio walioleta ustaarabu. Look very clossely to this pictures you will know how scientific achievement of black people reached its peak in ancient Egypt.
Hapo juu nilitaka watu waelewe kuwa waafrika tulikuwa mbali sana katika sayansi ila wagiriki waliiba vitabu vingi sana kutoka maktaba ya misri ya wakati ule hasa chuo kikuu cha Alexandria na kuchoma mengine ilibaki