The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Habari wakuu, kama nlivyoeleza hapo juu, nataka tubadilishane mawazo kuhusu watu wenye tabia za phlegmatic,
Nimepitia mitandao tofauti ya kisaikolojia. lakini nikakuta kila mtandao unaeleza kwa namna tofauti kuhusu tabia za phlegmatic, mf, kuna wale wanaosema kuwa phlegmatic anakuwa na marafiki wengi, lakini wakati huohuo tunaambiwa ni watu wasiopenda kujihusisha na watu, pia kuna wengne wanasema phlegmatic anakuwa ni mtu asiyependa kujihusisha na watu, pia anakuwa na marafiki wachache,