Je; unajua kua hasira kupita kiasi ni ugonjwa? Zijue dalili

Je; unajua kua hasira kupita kiasi ni ugonjwa? Zijue dalili

Joined
Nov 3, 2014
Posts
38
Reaction score
10
Kitaalam tatizo hili linajulikana kama INTERMITTENT EXPLOSIVE DISORDER (IED) na dalili zake ni
· hasira za ghafla zilizopitiliza (explosive outbursts of anger to the point of rage)
· kupiga kelele au kurusha au kuvuja vitu anapokasirika,
· kushindwa kuzuia au kucontrol mlipuko wa hasira
· hasira hii huisha katika kipindi kisichozidi lisaa limoja na dalili kama kutokwa jasho, kigugumizi; kubanwa kifuani; n.k
hata hivyo hasira inaweza kua kiaashiria cha magonjwa mengine kama
· Sonona (depression)
· Post traumatic stress disorder (PTSD)
· Bordaline personality disorder na mengine mengi.
MATIBABU
Tatizo hili hutibiwa kutokana na chanzo. Hivyo matibabu yanaweza kua dawa au psychotherapy.
kwa maelezo zaidi facebook @Psychological Support and Mental health Awareness
instagram psychological_support_tz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom