Je unajua kwamba yawezekana kuna watu wanajuwa nywira(password) yako ya Jamiiforums, Google, internet banking na kwingineko?

Naomba kujua maana ya cookies??

mara kwa mara huwa naulizwa ni accept cookies
 
Naomba kuua maana ya cookies??

mara kwa mara huwa naulizwa ni accept cookies
Cookies are small pieces of text sent to your browser by a website you visit. They help that website remember information about your visit, which can both make it easier to visit the site again and make the site more useful to you. -Source:- Google.

Should I accept cookies on a website?

It's a good idea to decline third-party cookies. If you don't decline, the website could sell your browsing data to third parties. Sharing your personal information with third parties without giving you any control over it could also leave you vulnerable. Source:- Norton
 
Hongera sana mimi ninangalia kwenye email yangu ya hotmail wanajaribu watu kutoka iran,Urusi, Amerika pakistan indonesia wanajaribu kuni dukua Hotmail yangu wanashindwa kuidukuwa.
njia ya kusafisha ni hii hapa

ipconfig /release
ipconfig /flushdns
ipconfig /renew

kwa kutumia Computer kwenye kutafuta aka Search una andika Run kisha una andika CMD. Kishaunaandika hivyo
ipconfig /release
ipconfig /flushdns
ipconfig /renew

itafuta kila kitu katika DNS.
 
Naomba kujua maana ya cookies??

mara kwa mara huwa naulizwa ni accept cookies
Cookie ni Vidakuzi ni maandishi madogo yanayotumwa kwa kivinjari chako na tovuti unayotembelea. Wanasaidia tovuti hiyo kukumbuka taarifa kuhusu ziara yako, ambayo inaweza kurahisisha kutembelea tovuti tena na kufanya tovuti kuwa muhimu zaidi kwako. -
 
Naomba kujua maana ya cookies??

mara kwa mara huwa naulizwa ni accept cookies
Cookie maana yake ni Ni wazo nzuri kukataa vidakuzi vya watu wengine. Usipokataa, tovuti inaweza kuuza data yako ya kuvinjari kwa washirika wengine. Kushiriki maelezo yako ya kibinafsi na wahusika wengine bila kukupa udhibiti wowote juu yake kunaweza kukuweka hatarini. Chanzo:- Norton
 
Hao wanaoweka Password ya facebook namba zao za simu ni wajinga hawajuwi kuweka Password Strong. Zipo njia za kuweka Password yako ya facebook ya Mtandao wa aian yoyote ile iwe Strong mtu mwengine hawezi kukuibia password yako labda wewe mwenyewe kumwambie .
 
Ulihakiwa
 
Enzi hizo watu wanadukuliwa daily.
 
Kipindi haujawa nzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. I mean ukiwa nyuki enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…