Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?

Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
[video=youtube_share;0Ry9gGS_SVQ]http://youtu.be/0Ry9gGS_SVQ[/video]
IMG_0240.JPG

indian-hair-factory.jpg

Last edited by a moderator:
hahahhahaha..................

usilolijua ni kama usiku wa ngiza.

wataalam wa composite science watatuleza tofauti.

well, hiyo sio kweli at least for me.
 
Mpaka za maiti wananyoaga hawa madudu
 
Ni kweli ndo maana huwa wanaandika 100% human hair, in nywel kabisa especially hizi original, feki ndo plastic
 
amna ni katani zile na plastic wala usitutishe

plastic zile sio katani.

katani ni kutoka kwa zao mkonge na nyepesi kukatika ukiivuta.
plastic ni product ya hydrocarbons toka viwandani (polycarbons ya organic chemistry) na ngumu sana kukatika.

ila miss chagga unachosema ni kweli nywele nyingi za bandia ni plastic in nature. sio za watu wala viumbe gani.
 
Last edited by a moderator:
"Ooooooh baby nahitaji wiglace la efu 40 yale ya 30 yanakatikakatika..!!!" ma ni naaaaah!!
 
plastic zile sio katani.

katani ni kutoka kwa zao mkonge na nyepesi kukatika ukiivuta.
plastic ni product ya hydrocarbons toka viwandani (polycarbons ya organic chemistry) na ngumu sana kukatika.

ila miss chagga unachosema ni kweli nywele nyingi za bandia ni plastic in nature. sio za watu wala viumbe gani.

ndo maana hata zikienda ardhini zinachukua mda kuoza
 
watumiaji kazi kwenu,hata mimi naamini mawigi na marasta huwa ni za maiti weupe!!!
 
Hiv tatizo la wanawak ninini haswa? Why wasiwe tu natural... kuliko kuweka manywele ya maiti kichwani?
 
hahahhahaha..................

usilolijua ni kama usiku wa ngiza.

wataalam wa composite science watatuleza tofauti.

well, hiyo sio kweli at least for me.

hii ni kweli CITIZEN tv ya Kenya walisharusha kipindi cha tv kuonyesha hili.... , you may search chanel yao youtube na kujionea.

amna ni katani zile na plastic wala usitutishe

watumiaji kazi kwenu,hata mimi naamini mawigi na marasta huwa ni za maiti weupe!!!

sio za maiti ni za watu walio hai kabisa, hasa nywele nyingi zinatoKa India na bara asia wanaziuza kwa viwanda vinavyotengeneza nywele kwa pesa ndogo sana, si unajua tena umaskini ulivyo huko india?!

vilevile huko india mtu akikaa au akiwa kwenye movie cinema na ni msichana mwenye nywele ndefu basi hukaa kwa makini na nywele zake manake kuna hao "wakata nywele" anamvizia mdada amejisahau anamkata nywele anakimbia nazo na kwenda kuziuza kwa vipesa vidogo.

Naamini ni maplastic tu hayoo

zipo za plastic , za katani na natural human hair na hizi ndio bei ghali kabisaaa...!!!
 
yule askofu wetu wa afrika mashariki na kati wakanisa la mwenge alishatoaga somo la haya madude nakumbuka aliwavua waamini wake kanisani
 
ndio maana wifi yenu anapiga mapara tu kama amber rossa sitaki kusikia hayo mambo ya mawigi kwangu
 
Huu ni ukweli.Huko Asia,Amerika na hata Ulaya mtu akifa ndugu jamaa na marafiki humnyoa nywele zake ndefu na kuziuza.Mahospitalini ambapo watu hufariki pasipokua na ndugu,jamaa au marafiki zao nywele za maiti hunyolewa na kisha kuziuza Kwa oda maalum.Mwsho soko kubwa liko Afrika.
 
Back
Top Bottom