DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Habari za Usubuhi!
Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa Baina ya mikono Lakini si hivyo.
Sasa nini hutokea?
Nitrogen, oxygen, na carbon dioxide Ndiyo gesi zilizopo kwa wingi kwenye Synovial fluid (labricant fluid iliyo kati kati ya Joint inayopunguza friction between bones) pressure iliyo ndani ya joint capsule hubadilika pale joint inapokuwa stretched beyond its normal range of motion, na hu'create' vacuum na kutengeneza bubble kutokana na Gesi kuwa dissolved kwenye fluid hiyo na bubles hizo huburst na kutengeneza sauti.
Sasa kwenye issue ya Knuckles, synavial hutanuka 'kuexpand' huku ikifnya Gesi zilizopo kati yake Kama Nitrogen kutengeneza Nitrogen bubbles ambazo baada ya kuburst ndio hutengeneza PoP Up sound ambayo huitwa Crepitus Joint sound Au crepitus ambayo ndio huwa tunaisikia.
hata hivyo Husaidia kurelax nerves zilizo karibu hivyo kuongeza Muscles flexibility na kuwezesha Vidole kupata nguvu mpya.
Video jama akibinya vidole..