NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
wakuu salamu kwenu. jana nilikuwa naangalia BBC swahili star tv, kuna habari niliisikia kuhusu kituo cha anga ambacho kipo angani! nmejiulza maswali mengi kuhusu kituo hiki cha anga za juu, je kilijengwa kwa namna gan huko angan? je kina utofaut gan na satelite? walikuwa wanapelekaje vifaa na mitambo ya kujenga kituo? nina maswal meng sana wadau, karibun kwa wanaojua tafadhali tufumbuana macho!