In red: sateliti ni kifaa chombo maalum kinachoizunguka dunia,kinaweza kua ni cha asili au cha kutengenezwa na binadam,mfano mwezi ni sateliti ya asili inayoizunguka dunia. International space station au ISS ni satelite inayoizunguka dania ila tofauti yake na sateliti ya kawaida ni kwamba ISS ni kubwa kuliko sateliti ya kawaida na watu wanaweza kuishi humo.
Iss inatoa fursa ya makazi ya binadamu angani. Iss inaweza kuonekana kwa macho ya kawaida kama taa inayong'aa sana angani usiku au alfajiri. mwenyewe nimewahi kuiona mara nyingi.
Kituo hiki kilijengwa huko angani kwenye mhimili wa dunia ambapo nguvu ya mvutano ni 0,kwa hiyo kinaelea angani. ujenzi wake ulianza mwaka 1998,historia yake ya ujenzi ni kubwa kidogo. angalia wikipedia na mitandao mingine utapata ufahamu zaidi. nikitulia ntendelea kidogo