Je unakijua Kiswahili!jibu swali hili

Je unakijua Kiswahili!jibu swali hili

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Ukitumia ithibati sahihi fafanua uhusiano baina ya matawi mbalimbali ya sarufi
 
Matawi ya sarufi
>fonolojia
>mofolojia
>semantiki
>sintaksia
unaeleza kila taw kwa mifano madhubuti.
 
nimependa hiyo 'sintasikia'. kiswahili ni lugha ngumu kwa sababu inatungwa,

lugha huwa haitungwi. eti laptop inaitwa komputa mpakato, wakati komputa inaitwa tarakilishi, kwa nini isiwe tarakilishi mpakato?

hicho kiswahili chako kigumu kinatusaidia.vipi kuhusu mkate wetu wa kila siku?
 
Matawi ya sarufi
>fonolojia
>mofolojia
>semantiki
>sintaksia
unaeleza kila taw kwa mifano madhubuti.

hiki ni kiswahili rasmi kiswahili cha vitabuni na darasani kiswahili cha kupima uelewa wa mwanafunzi ajifunzaye kiswahili hakitumiki katika maisha ya kawaida
 
Back
Top Bottom