nimependa hiyo 'sintasikia'. kiswahili ni lugha ngumu kwa sababu inatungwa,
lugha huwa haitungwi. eti laptop inaitwa komputa mpakato, wakati komputa inaitwa tarakilishi, kwa nini isiwe tarakilishi mpakato?
hicho kiswahili chako kigumu kinatusaidia.vipi kuhusu mkate wetu wa kila siku?