Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Wakati tunasoma mzee kuna hiyo siku unajikuta tu Unaenda zako darasa jingine kupiga story mara ghafra mwalimu anaingia unasikia tu anasema laleni Chini kwa nini mnapiga kelele,
Aiseeee huwa zinaumaga sana zile fimbo sidhani kama kuna za kuzizidi.
Je, unakumbuka lolote kuhusu hizo fimbo wakati huo unasoma?
Cc Zero IQ
Aiseeee huwa zinaumaga sana zile fimbo sidhani kama kuna za kuzizidi.
Je, unakumbuka lolote kuhusu hizo fimbo wakati huo unasoma?
Cc Zero IQ