π€£π€£π€£ ila mliwakomesha.πππ Dah nakumbuka Kuna siku nilikuwa na wadau wawili ambao tuligoma kupigwa staff tukakimbilia kwny kichak karbu na shule.
Sas kulikua na mzinga wa nyuki mkubwa tukapiga mawe ukashuka Kam ulivyo wale nyuki wakawa na hasira wakavamia madaras na staff bwanaaa weee ni shidaaaa mwl wa zamu katoka tu nje manundu tayr akala kona spidi kali akaanguka chin suruali ikachanik walimu wa kike vilio atar.
Mda huo mkuu yupo ofisini kafunga vioo anapiga simu na kutoa matamko tu nakumbuka shule ilipagawa sabab ya wale nyuki 892k waliovamia sababu ya sisi vibaka tuliojificha karbu na kichaka ch shule.
Kesho yake assemble ikageuka kuwa jehanamu tulipigwa adi na mawe yan nilisikia mwl mlokole wa kike akisem was**ng nyie mlitaka tufeeee mamaee nyie
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah nakumbuka Kuna siku nilikuwa na wadau wawili ambao tuligoma kupigwa staff tukakimbilia kwny kichak karbu na shule.