Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Duru zinasema Raisi Yoweri Mseveni wa Uganda atakutana uso kwa uso na maandamano ya Wanaharakati watetezi wa ushoga Marekani.
Ni wakati atakapotua Washington DC kuhudhuria mkutano wa Maraisi 40 au zaidi toka Afrika.
Ni Mkutano huu ulioandaliwa na Raisi Obama utajaribu kuengua nchi za Kiafrika toka mnaso wa China kiuchumi. Inaelekea China inafaidika sana raslimali na biashara za Afrika
Chanzo: BBC 04 August 20014