Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
ulikuwa na haraka ya kuandika hii habari.na hiyo source yako mbona kama iko wide sana.kwa hiyo mtu humu akiandika habari ya tukio fulani lilitokea mahali ndani ya nchi na chanzo chake akasema ni KITAIFA,utamwelewa kweli!bora usingeweka kabisa.
Mkutano wenyewe unafanyika lini mkuu?
I keshakubali ushoga...wanaandamana kumpongeza au?
I keshakubali ushoga...wanaandamana kumpongeza au?