Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA?

Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA?

Bibi Mikopo

Senior Member
Joined
May 15, 2015
Posts
180
Reaction score
35
  • Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA? ... kutoka Insta na X ya HESLB Tanzania
    WhatsApp Image 2024-07-01 at 14.00.33.jpeg
 
Kwa wema Gani nyie na nanilii mnaotufanyia?
 
Hawa nao huwa hawajielewi..so wao hawana records za watu wao?
 
Nawashauri HESLB wadeal na Waajiri hasa wa private sector ambapo ndio wanaochukua graduates wengi. Pia washirikiane na PSSSF, NSSF, WCF, ATE, TRA, TLS, NBAA, NHIF, ERB, AQRB, CRB, UMOJA WA WAPIMA ARDHI, AMCOS mbalimbali, Vyama vya Siasa na Taasisi nyingine zenye data za Waajiri na Wahitimu wa Vyuo Vikuu wenye ajira rasmi na zisizo rasmi. Mkifanikiwa mnipe soda.
 
Back
Top Bottom