Nawashauri HESLB wadeal na Waajiri hasa wa private sector ambapo ndio wanaochukua graduates wengi. Pia washirikiane na PSSSF, NSSF, WCF, ATE, TRA, TLS, NBAA, NHIF, ERB, AQRB, CRB, UMOJA WA WAPIMA ARDHI, AMCOS mbalimbali, Vyama vya Siasa na Taasisi nyingine zenye data za Waajiri na Wahitimu wa Vyuo Vikuu wenye ajira rasmi na zisizo rasmi. Mkifanikiwa mnipe soda.