Je, unamfahamu mtawala wa kwanza wa Tanganyika?

Je, unamfahamu mtawala wa kwanza wa Tanganyika?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Gerge v
Ndiye mtawala wa kwanza wa Tanganyika,pia alijulikana kwa jina la George Frederick Ernest Albert.
George ni mjukuu wa malkia Victoria (mwenye ziwa lake kule kwa kina ngosha na koku).
Mweshimiwa huyu pia alikuwa ni mpiganaji katika jeshi la wana maji la Uingereza.
alitawala kuaznia mwaka 1919-1936,hii ni baada ya kumg'oa mjerumani ambaye yeye alikuwa anatawala afrika mashariki yote ikiwemo Burundi na Rwanda iliyojulikana kwa jina la Deutsch ostafrika
 

Attachments

  • GEORGE V.jpg
    GEORGE V.jpg
    5.4 KB · Views: 1,092
Mzalendo kama una nichanganya hivi.

Umesema huyu jamaa katawala kuanzia 1919 hivi baada ya kumtoa mjerumani.

Sasa inakuwaje tena mjerumani Huyo Huyo ajenge ikulu 1922.
 
Mzalendo kama una nichanganya hivi.

Umesema huyu jamaa katawala kuanzia 1919 hivi baada ya kumtoa mjerumani.

Sasa inakuwaje tena mjerumani Huyo Huyo ajenge ikulu 1922.
hapo jamaa katuchanganya ile ikulu ilijengwa na wajermani hata kabla huyu masharubu hajaja sasa anataka kusema wajerumani hawakuwa na mtawala,na pale bagamoyo kwenye boma alikuwa anakaa nani kabla ya ujio wa waingereza ,waingereza walikuta tanganika ikiwa chini ya mjerumani tayari
 
Back
Top Bottom