hapo jamaa katuchanganya ile ikulu ilijengwa na wajermani hata kabla huyu masharubu hajaja sasa anataka kusema wajerumani hawakuwa na mtawala,na pale bagamoyo kwenye boma alikuwa anakaa nani kabla ya ujio wa waingereza ,waingereza walikuta tanganika ikiwa chini ya mjerumani tayariMzalendo kama una nichanganya hivi.
Umesema huyu jamaa katawala kuanzia 1919 hivi baada ya kumtoa mjerumani.
Sasa inakuwaje tena mjerumani Huyo Huyo ajenge ikulu 1922.