SOFTWARE Je, unamiliki duka la nguo njoo tukupatie hii android application uuze bidhaa zako online

matthew12345

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
63
Reaction score
30
Je umeshawahi kujiuliza ni kivipi wateja walio mali na duka lako wanaweza kupata bidhaa zako ?

Dunia ya sasa imeamia kiganjani. wateja wako hawana haja ya kuja dukani kwako tena. weka duka lako mkononi kwa application nzuri ya android itakayokuwezesha kuweka bidhaa zako zote mtandaoni na wateja wako watafanya oder direct kwenye simu zao kwa kutumia application yako. ambayo ww utakuwa una weka tu bidhaa zako huko, unaitangaza na wateja wako wata download apllication hii kwenye google playstore .

Kwa mawasiliano
Call or whatsapp: +255 759 702 766
email: info@clicktech.co.tz


Baadhi ya pics za hii application









 
Nimeipenda dadeq[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mna app ya kusimamia duka la dawa? na app ya uendeshaji wa hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…