Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
JE UNAMJUA STEPHANE AZIZ KI, AMETOKEA WAPI?
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Stephane Aziz Ki, kiungo wa Day Young Africa anayevalia jezi namba 10 mgongoni, amezaliwa tarehe 6 March 1996 ( 28 ) huko Abidjan Ivory Coast ana urefu wa sentimeta 180 yaani Futi 5 na inch 11.
Ameanzia kucheza mpira katika timu ya watoto Rayo Vallecano. baada ya hapo akaanza mpira wa kulipwa 2015 katika team ya San Roque,2017 akajiunga na Omonia, 2018 akachukuliwa kwa mkopo na Aris Limassol na baade Nea Salamina na 2022 akanyakuliwa na mabingwa wa soka nchini Tanzania Dar Young African.
Aziz Ki anacheza katika timu yake ya Taifa ya Burkina Faso, hii ni bahati kwamba Dar Ypung African ya Eng Heris na Gharib ( GSM ) ina wachezaji wanaocheza kwenye timu za taifa katika mataifa ya kisoka,
SIFA ZA AZIZ KI ZINAZOMPA UMAARUFU
1. Upole na nidhamu yake uwanjani na nje ya uwanja
2. Uwezo wake wa kufanya sanaa nje ya uwanja, kama kuwa na urafiki na wasanii mbalimbali na watu maarufu nchini kumempa mwonekano na mvuto
3. Upeke wa muonekano wake wa asili ya kiafrika
4. Jitihada zake uwanjani, nguvu za miguu na uwezo wa kumiliki mali
ITAENDELEA
Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
MTOTO WA MAMA SAMIA
RAFIKI WA WOTE