Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
JE UNAMJUA DR TULIA ACKSON, MWANASHERIA MSOMI KAMA WANASHERIA WANAVYOJIPALILIA?
MAKALA HII IMEANDIKWA NA
Comrade Ally Maftah
(PACOME WA MCHONGO)
Dr Tulia amezaliwa tar 23 November 1976 katika Kijiji cha Bulyaga kilichopo Tukuyu, Mbeya. katika mpangilio wa nyota huyu anaangukia kwenye Mshale ( Sagittarius ) na ameakisi nyota hiyo vilivyo, watu wenye nyota hiyo wana uwezo mkubwa kiakili na wanapenda changamoto, huyu ni Tulia.
Tulia amesoma elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Mabonde 1984 - 1990 na kufaulu mitihani yake ya msingi kwa kiwango cha juu na kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya vipaji ya wasichana Loleza iliyopo Mbeya, mwaka 1994 alihitimu na kufaulu kwa kiwango cha juu tena na kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya upili katika shule ya Zanaki, na kufaulu tena na 1998 akajiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam, akichukua shahada ya kwanza ya sheria ambapo alikuwa mwiba mkali darasani, alipomaliza shahada ya kwanza akaunganisha tena shahada ya pili ya sheria na kuhitimu 2003, mwamba huyu alikuwa na kiu ya kali ya elimu mithiri ya simba jike anapokuwa katika windo lake, 2015 akajitupa Chuo kikuu Cape Town kuchukua degree ya tatu yaani degree ya uzamivu na hawa ndio huitwa Doctors, sio kwamba wanachoma watu sindano hapana hii ni heshima ya kuvumilia umande. 2007 tukaanza kumuita Dr Tulia Ackson.
Mwamba huyu alianza ajira akiwa anasoma pale chuo kikuu cha Dar es Salaam akiwa mkufunzi msaidizi, na baadae akawa mkufunzi kamili, alipanda vyeo mbalimbali na kupokea teuzi kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete, ufanishi na ujasili wake kazini ulimfanya awe kinara kila alipopachikwa
Mwaka 2015 Dr Jakaya Kikwete alimteua kuwa Naibu Mwanasheria mkuu. na baadae akayeuliwa na Dr John Pombe Magufuli kuwa Mbunge wa bunge la jamuhili ya muungano na kupewa dhamana ya kuwa naibu spika wa bunge katika bunge lililoongozwa na Spika Job Ndugai, na baadae kuwa spika wa bunge baada ya Ndugai kujiuzulu,
Dr Tulia ni mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini akimbwaga mbunge machachali wa chama cha democracia na maendeleo CHADEMA , katika uchaguzi mkuu 2020, kutokana na umahili wake katika kusimamia bunge.
Kumuelezea Dr Tulia inahitaji kalamu isiyoisha wino na karatasi za dhahabu kwa utamu wa hadithi ya maisha yake, huu ni mfano wa mtu mwenye jitihada na uvimilivu akuwa katika utulivu, mwanamke asiyeyumbishwa
CAM STORE - WAUZAJI WA VIFAA VYA KILIMO NA UFUGAJI
0762212623
0785670227