Je, unamkumbuka huyu DJ?

Huyo ni DJ Ayeya wa Mount Livingston Hotel, alikuwa anakuja kuturusha mwisho wa mwezi pale Loleza
 
Huyo ni DJ Kikwete enzi zake.
 
Mshaamza siasa chafu yaani kusikia Mbowe anatetea kiti tayari mshaanza figisu! Hapa alikua kazini toa picha ya mbowe sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…