Dah...bimkubwa haya anayajua kitambo sana......lazima nimshukuru sana kwa zile fimbo...maana bila zile fimbo sijui Leo ingekuwaje[emoji41]Nakupenda mom, umefanya mengi kwa ajili yangu
ulinibeba tumboni mwako miezi 9
wewe ndio unaejua ukweli wowote kuhusu mimi
wewe hukulala mpaka mimi nilale
wewe hukula mpaka mimi nile
hukuvaa mpaka mimi nivae
ulijinyima ili mimi nipate mama
Mama, Nikifika nyumbani nisipokukuta wewe naona kama vile nyumba haina mtu mama!
watanikimbia wote lakini mama wewe najua hutonikimbia
Najua hauuoni huu uzi mama lakini ni mimi mwanao naonesha upendo wangu kwako
Mungu akubariki na kukutia nguvu siku zote Mama!
Yaani badala ya kumwambia live, unajisemea tu mtandaoni!!! Mmmviuu[emoji13]Mama nakupenda!!
Hivi nilivyo ni sababu ya juhudi zako!! Kuna kipindi nilikuudhi kwa kujua ama kutokujua naomba unisamehe mama!! Hukuchoka kunilea mpaka leo nimekuwa mtu mzima bado huwezi lala bila kunijulia hali, mamangu natamani niwe kama wewe!! Mungu akupe maisha marefu mama yangu, sitachoka kukupenda, kukuheshimu na kukutunza!!! Mama nakupenda!!!
HahahaYaani badala ya kumwambia live, unajisemea tu mtandaoni!!! Mmmviuu[emoji13]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mama nakupenda!!
Hivi nilivyo ni sababu ya juhudi zako!! Kuna kipindi nilikuudhi kwa kujua ama kutokujua naomba unisamehe mama!! Hukuchoka kunilea mpaka leo nimekuwa mtu mzima bado huwezi lala bila kunijulia hali, mamangu natamani niwe kama wewe!! Mungu akupe maisha marefu mama yangu, sitachoka kukupenda, kukuheshimu na kukutunza!!! Mama nakupenda!!!
Wewe umetisha sana. Mama kweli unampenda mama yako. Mi mama yangu nitamtembelea weekend hii nikamwambie live. Humu wala hachunguligaNavyokupenda mama asingekuoa baba ningekuoa mimi
Mama nakupenda!!