Ex wangu alikuwa ananisikiliza kwa kila kitu yani ni crazy na ananiamini kwa asilimia mia siyo kuniamini kuhusu kuchepuka hapana kwenye mambo mengine yote anaamini mimi nayajua yani ilikuwa ni kama mtoto anavyoamini uwezo wa baba katika mambo mengi mimi ndiyo muauzi mambo yote na atayapokea kwa furaha kabisa ni mrembo hujawahi ona tulikuwa maarufu mtaani na watu walijua napendwa sana na yule manzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.