Je, unanuka kikwapa, sehemu za siri na korodan?

patricl

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
508
Reaction score
299
Fanya mambo yafuatayo ili hali hiyo isitokee tena.
√ kata nywele sehem za siri, kisha chukua maji ya ukoko wa ugali unawie sehem hizo zinazonuka( hakikisha unafanya hivi ukiwa umeoga) fanya Mara mbili kwa wiki 900 itapendeza

√ Tumia maji ya limao kunawia sehemu hizo husaidia kukata harufu

Angalizo:
Epuka kutumia sabuni,manukato ya kubadilisha Mara kwa mara ambapo hupelekea kupoteza harufu halisi ya mwili wako.

Nawasilisha,,,,
 
Ukoko unatakiwa uwe umeungua.
 
chovya kidole kwenye sabuni ya kuoshea nywele(shampoo) kisha paka kwenye kwapa linalotoa harufu subiri pakauke vaa shati lako kisha nenda misele kakumbatie watu kwa kadri utakavyo weza bila wasiwasi wowote.

medication: kanunue fluconazole kisha piga dozi kwa kadri ya maelekezo ya mtaalamu
harufu ya kwapa
kunuka mdomo
mba wa kichwani
mba wa ngozi
vibarango
chunusi(ambazo sio za kubalehe)

vitabaki histori.
 
Hivi uwa kuna dawa ya chunusi kumbe
 
Kuna sehem zingine jama ziacheni zilivyo tuu, hizo harufu ni natural kabisa na zina kazi yake [emoji16]
 
Dawa hiyo inauzwa shngap mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…