Mr Fresh
Member
- May 30, 2021
- 23
- 75
Bei za Cryptocurrency zimeshuka katika miezi ya hivi karibuni, na Bitcoin (BTC) ikipoteza zaidi ya 35% tangu tarehe 11 November 2021.
Licha ya kushuka kwa kasi kwa wiki hii, Bitcoin bado iko juu karibu 40% Tangu January 1 mwaka 2021.
Mabadiliko haya hayamainishi kwamba soko liko chini sana kwa wawekezaji wenye malengo ya kushikilia sarafu zao kwa muda mrefu
Ila yanatia hofu sana kwa wawekezaji wenye malengo ya muda mfupi hasa wanapoona thamani ya sarafu zao ikishuka.
Leo nitakufundisha njia sahihi za kulikabili soko la cryptocurrency kipindi likiwa chini;
1- Usiuze Kwa Hofu Sarafu Zako
Hili ni kosa kubwa sana ambalo hupaswi kulifanya,unapouza sarafu zako kipindi soko linapokuwa chini maana yake ni kwamba umekubali hasara, na endapo ikatokea soko likarudi juu ghafla basi utajilaumu sana. Amini tafiti zako ulizozafanya kabla ya kununua sarafu na kuwa mtulivu zaidi.
2. Fanya Utafiti Kujua Kwa Nini Soko Limeshuka
hii itakusaidia kukupa nguvu ya maamuzi zaidi baada ya kujua ni sababu zipi zilizosababisha soko kushuka
3. Ongeza Manunuzi ya Sarafu Zako Kama Bado Una Fedha Ya Ziada
Una nafasi kubwa sana ya kupata faida ya haraka sokoni endapo ukifanya manunuzi kipindi soko la cryptocurrency linapokuwa chini,hivyo usipoteze nafasi ongeza idadi ya sarafu zako kisha subiria matunda ya uwekezaji wako.
4. Fikiria Zaidi Juu Ya Miaka Mitano Hadi Kumi Ijayo
Soko la cryptocurrency bado ni geni sana na haliwezi kupotea au kufutika hivi karibuni, Cryptocurrency zipo na zitaendelea kuwepo miaka yote ijayo na watu wengi zaidi wataendelea kuifahamu cryptocurrency. wanaowekeza hivi sasa ndo watafaidika zaidi miaka ijayo.