Je unapenda chips? Mjue George Speck mgunduzi wa chips

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
UNAAMBIWA: Chips za viazi zilianza kutengenezwa rasmi Mwaka 1853 baada ya Mmarekani mweusi George Speck maarufu Crum (Mpishi) kupata hasira kisa Wateja wake kumlaumu kuwa anawawekea viazi vyenye mapande makubwamakubwa.

Alipoona Wateja wanamkera akaamua kuwakomoa kwa kukata vipande vidogovidogo sana lakini ndio kwanza Wateja wakavipenda, baadaye vikaanza kuchanganywa na mayai na kutengenezwa kiepe na sasa Crum ndio Legend na Baba wa Chips duniani 😀

Kwa heshima ya Chips, mpe neno moja Bwana Crum.
 
Neno langu kwake, matendo mema yenye kumpendezesha Mwenyezi Mungu ndio yatakayomuingiza peponi, akiwa katika uisilamu,,,otherwise kazi bure na chipsi zake na masifa kibao yasiyokua na maana.
Uislamu unakupeleka peponi. Peponi unapewa mabikira 72 wenye macho makubwa kama vikombe. Na nguvu za kiume za kugonga mademu elfu moja. Baada ya hapo unaenda kugida bia kwenye mto wa pombe.

Ukristo unakupeleka mbinguni, mbinguni ni mji wa lulu, barabara zake ni za dhahabu safi, huko ni kusifu na kuabudu. Hamna mademu wakali wala ulabu, hamna magari ya kifahari wala nini. Kuimba tu na kusema unastahili Bwana kupokea heshima, sifa na utukufu.

Chagua unataka kwenda wapi?
Your browser is not able to display this video.
 
This made my day jamani ..😆😆😆
 

Nyanaume, upo babaa??🤣 mzee wa chips hahhaaa
 
Kwahiyo mbinguni kwetu sisi Wakristo hakutakua na minyanduano zaidi ya kuimba na kusifu
 
Sol de Mayo mbona umefuta comment yako?
Waislam wanaume peponi watapewa wanawake 72, je wanawake watendao wema peponi thawabu yao ni ipi? FaizaFoxy nahitaji jawabu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…