Sol de Mayo mbona umefuta comment yako?
Waislam wanaume peponi watapewa wanawake 72, je wanawake watendao wema peponi thawabu yao ni ipi? FaizaFoxy nahitaji jawabu lako
makande au makange
hahahaha ,hatari sanaNi Makande mzehe, yapo yaliyochanganywa na maharage, mama lishe wanayapika sana hayo, huko toilet sijui kuna hali gani babaa
Hapa FaizaFoxy Al mujahidina hawezi kutokea. Dini imesema wazi peponi hana kitu, labda awe mlupo tuSol de Mayo mbona umefuta comment yako?
Waislam wanaume peponi watapewa wanawake 72, je wanawake watendao wema peponi thawabu yao ni ipi? FaizaFoxy nahitaji jawabu lako
Hizo barabara wakati wa jua hilo joto lake sasa !Uislamu unakupeleka peponi. Peponi unapewa mabikira 72 wenye macho makubwa kama vikombe. Na nguvu za kiume za kugonga mademu elfu moja. Baada ya hapo unaenda kugida bia kwenye mto wa pombe.
Ukristo unakupeleka mbinguni, mbinguni ni mji wa lulu, barabara zake ni za dhahabu safi, huko ni kusifu na kuabudu. Hamna mademu wakali wala ulabu, hamna magari ya kifahari wala nini. Kuimba tu na kusema unastahili Bwana kupokea heshima, sifa na utukufu.
Chagua unataka kwenda wapi?
View attachment 2399085
Chips zilivyoharibia watoto wa shule masomo kwa kupachikwa mimba sidhani kama Mr.Crum anastahili pongezi