Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa

Nominee

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
464
Reaction score
1,260
Habarini wakuu.Tunajua watu wengi wamepoteza wapendwa wao kutokana na ajali za barabarani.Wengi wamepata ukilema kisa ajali,ndoto zetu nyingi zimezimwa kutokana na ajali za barabarani. Nimeona nishee nanyi hii mada ili kupunguza ajali za barabarani. Ungana nami mwanzo mpaka mwisho wa nakala hii fupi.

Hii mada inawahusu wote wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza na hawana uzoefu wa kuendesha gari, na pia wale wote ambao wanaweza wakawa wana uzoefu wa kuendesha gari mijini, lakini hawana uzoefu wa kuendesha gari kwenye barabara kuu za kwenda mikoani.Ni vema kila mtu aliye dereva akasoma ninachoeleza hapa. Inaweza kuokoa maisha yako,ya familia yako,abiria wako na watumiaji wengine wa barabara.

Ndugu zangu, ukiweza kuendesha gari mijini, haina maana utaweza kuendesha gari pasipo tatizo kwenye barabara kuu za kuelekea mikoani. Nimeshuhudia watu wengi sana waliokufa kwa sababu baada ya kununua gari walikuwa na mchecheto wa ku-drive kwenda kwao kijijini.

Kuendesha gari kwenye barabara kuu ni tofauti sana na kuendesha gari mijini. Kwenye barabara kuu challenge zake ni kubwa sana kwa sababu gari zinaenda kwa kasi, na pia kuna mambo mengi ya ghafla yanayoweza kujitokeza ambayo kama hauna uamuzi wa haraka kama dereva utasababisha athari kabla ya kufika mwisho wa safari yako. Ukifanya kosa hata dogo barabara kuu unaweza kufa, tofauti na mijini.

Kwa mfano, ku-overtake katika barabara kuu ni jambo linalotakiwa lifanywe kwa umakini sana. Na pia kila unapoingia kona kali au blind spot kwenye barabara kuu weka akilini kwamba unaweza kukutana na kitu upande wako, basi linaloenda kasi, lori au trekta lililoharibika, mifugo, shimo kubwa, mawe yaliyoporomoka, ajali nk. Pia unaweza kukutana ghafla na dereva mzembe anae-overtake kwenye kona na yuko upande wako.

Usithubutu ku-overtake sehemu ambayo huoni mbali mbele, na usikaribie sana gari unayotaka ku-overtake kabla ya kui-overtake. Na unapo-overtake kama una gari manual gear, rudi gia za chini kwanza ili kujenga spidi ya ku-overtake. Kama una gari automatiki, ikibidi itoe gari kwenye overdrive (unabonyeza kiswitch cha Overdrive na kuna kataa katawaka kwenye dashboard kuonyesha Overdrive iko off), hasa kama ulikuwa umepunguza mwendo. Mara nyingine toa gia kwenye "D" na rudi kwenye "2" ili kujenga spidi ya ku-overtake, na ukishamaliza rudi kwenye D na Overdrive.

Hili ni muhimu sana kwa gari ambazo ukikanyaga accelerator gari inakawia kuchanganya. Overtake kwa haraka, sehemu ambayo iko salama, na ni vizuri gari unayoi-overtake dereva wake ajue unamu-overtake. Unaweza kumpigia honi kidogo ya kuibia kama kuomba - usipige kwa nguvu ukamuudhi. Epuka kuovertake sehemu ya barabara yenye mashimo, maana dereva wa mbele anaweza kurudi upande wako ili akwepe shimo wakati tayari unamu-overtake.

Siri moja ya ku-overtake salama ni uvumilivu - overtake nzuri haitaki haraka.
Na pia kosa linaloua watu wengi sana ni ku-overtake kwa kukisia kwamba hakutakuwa na gari inayokuja upande wa pili zile sehemu ambazo huoni vizuri mbele. Hata kama barabara haina magari mengi usithubutu kukisia kwamba hakutakuwa na gari (gambling overtake).
Na pia katika barabara kuu kuna suala la uchovu - fatigue.

Hili ni jambo jingine linaua sana watu wasio na uzoefu wa kuwa katika barabara kuu. Ni mbaya hata zaidi ikiwa utakaposimama mahali kwa chakula ukanywa bia - hata moja tu, kwa sababu itakuletea sana usingizi. Epuka kula vyakula vizito kama ugali na maharage, au kula hadi ukashiba sana! Ukisikia usingizi simama upumpzike, toka ndani ya gari, tembea kidogo, kabla ya kuendelea na safari. Kama ikibidi tumia Redbull (sio zaidi ya mbili).

Na jambo jingine muhimu sana la kukumbuka ni kwamba ukiingia barabara kuu, ukaendesha kwa muda fulani, akili yako inazoea spidi kali kiasi kwamba huoni tena kama unaenda spidi kali. Unaweza ukawa unaenda 140km/h ukaona kama unaenda 80km/hr. Hili huwa mara nyingi linasababisha kuacha njia na kupinduka, au kuingia kona ukiwa na spidi kubwa na gari kupinduka. Nadhani umesikia sana ajali zinazosemwa zilitokea kwa sababu dereva alishindwa kumiliki gari - ni kwa sababu akilini dereva aliona haendi spidi.

Jambo lingine muhimu sana kukumbuka ni kwamba, unapoenda safari yoyote ya mbali ambayo utaendesha gari mfululizo kwa zaidi ya masaa manne, au kwa spidi zaidi ya 100km/hr, hakikisha tairi zako hazina umri zaidi ya miaka mitano, la sivyo utapata basti hata kama tairi inaonekana bado mpya kwa kuitazama. Tairi ikizidi miaka mitano haifai kusafiria safari ya mbali, japo unaweza ukaendelea kuitumia kwa safari za mijini.

Nimeona niseme haya kwa sababu nawapenda ndugu zangu. Sitaki mufe barabarani, au mniue mimi na familia yangu. Wapeni taarifa wengine ili tuzidi kuepuka vifo hivi vya barabarani ambavyo vingi vinazuilika.

Neno langu la mwisho, ili uendeleee kuwa salama barabarani ni lazima uwe makini kwa lolote unalotaka kufanya ukiwa unaendesha gari. Zingatia hilo, utakuwa salama.
 
Ahsante sana mkuu, Elimu ni bahari

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa alienda Kagera kutoka dar siku za hivi karibuni akiwa na familia yake yote na Mdada wa kazi...kurudi wameishia Morogoro tu hapo. Kweli uzoefu unaitajika na kupunguza spidi. Rest in Peace all
 
Safi sn mkuu!! Naongezea hapo matumizi ha sim ukiwa unaendesha nayo siyo mazuri.

Juzi nilikua napangusa simu yangu nipokee video call ya demu wangu (actually ni mke wa mtu) aisee nikagonga mti paaaah.

Bahati nzuri nilikua mwendo below 20 kmph. Nilikasirika sana. Nikarudi reverse, nikaweka P, kisha Hand Brake.
Nikashuka nikachek bampa limekwaruzika kidogo, nikaendelea na safari. Na simu sikupokea tena
 
😂😂Inachekesha sana ingawa sio vizuri, hapo ungekuwa 100 tayari mkosi, ila najua ushajifunza kitu hapo for next time.
 
Mimi siku zote nikiwa barabarani huwa nawaza kuwa madereva wote ni mazembe,hawajui sheria na taratibu.

Hii inanisaidia kuwa makini sana.

Hata kama nipo mataa na taa inaruhusu niende lazima nipige jicho huku na kule kwa sababu akili yangu inawaza madereva wote mazembe.

Si haba maisha yanasonga
 
Juzi nilikua napangusa simu yangu nipokee video call ya demu wangu (actually ni mke wa mtu) aisee nikagonga mti paaaah.

Bahati nzuri nilikua mwendo below 20 kmph. Nilikasirika sana. Nikarudi reverse, nikaweka P, kisha Hand Brake.
Nikashuka nikachek bampa limekwaruzika kidogo, nikaendelea na safari. Na simu sikupokea tena
Mke wa mtu sumu
 
Back
Top Bottom