Je, unapenda kuweka viungo gani katika juisi ya matunda?

Je, unapenda kuweka viungo gani katika juisi ya matunda?

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Hello wana JF chef,

Ni mara yangu ya kwanza kupost humu. Ila si mbaya kama tukibadilishana ujuzi na maonjo kidogo kwenye afya na vyakula.

Mimi napenda juisi ya matunda yenye tangawizi kidogo pia hata ile ya miwa pia. Je, wewe hupendelea kuweka vitu gani zaidi kwenye juisi yako na unapoinywa hujisikia raha?

Karibuni
 
Tangawizi inaendana na juice nyingi. Ila isizidi sana mpaka ikawasha.
 
Vanilla, napenda ile harufu yake nikimix kwenye juice.
 
kwenye juisi za matunda mengine naweka tangawizi bt kwenye ukwaju huwa natumia hiliki
 
Back
Top Bottom