Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem

Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
 
Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem

Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
Hakuna utofauti kama vyote vina tech sawa.

Kama una modem ya kizamani na simu ya kisasa, Hotspot ya simu itakula sana, kama una modem ya kisasa na simu ya kizamani basi modem itakula sana.

Kifupi bando linaenda jingi speed ikiwa kubwa.

Pia sababu modem ina adapter separate sometime inakuwa ngumu kui restrict compare na wifi ambayo hutumia adapter ya windows unaweza kuweka metered connection.
 
Mimi naona modem inakula sana mb maana nikitumia hotspot ya simu yangu na nikiweka metered connection inakula vizuri toffauti na modem
 
Back
Top Bottom