Je unasumbuliwa na matatizo ya meno Kama kuoza / Kutoboka !?
Iwapo meno yako yametoboka/ kuoza kuna huduma ya kuziba meno ( Teeth Filling / Restoration)
Faida Zake
-Jino Litadumu kwa mda mrefu
-utazuia kuharibika zaidi kwa jino
-Utatafuna Chakula Vizuri
- Utalinda meno mengine yasiharibike
- Utakuwa na Muonekano mzuri wa meno yako
Nimeambatanisha picha Za kuziba meno kabla na baada ya Matibabu
Karibu Tukuhudumie
📍Dar es. Salaam, Pwani
📞0658950085 ( WhatsApp, SMS, Calls)
-
IMG_8583.jpeg
159.8 KB
· Views: 14
-
IMG_8584.jpeg
148.9 KB
· Views: 16
-
IMG_8581.jpeg
193.8 KB
· Views: 19
-
IMG_8582.jpeg
185.1 KB
· Views: 17