Je unatafuta kazi ?

Je unatafuta kazi ?

justdoit

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
63
Reaction score
4
Jiunge Bure na KAZImobile na upate ujumbe wa nafasi za kazi kwenye simu yako popote pale ulipo. Tembelea www.kazimobile.co.tz na ujiunge sasa.

KAZImobile inakurahisishia maisha.
 
hio huduma naifahamu, ni ya kifisadi tu,haina jipya
 
Wizi mtupu lowassa wengine hawa
guys watchout
 
Wizi mtupu lowassa wengine hawa
guys watchout

Hii huduma ni ya jamii na GHARAMA yake ni rahisi ndo maana wengi wanaitumia na inawasaidia. Kujiunga Online ni bure na kila nafasi ya kazi inayotumwa ni shilingi 150. Sikufikiri kama kuna mtu anaweza kusema huduma hii ni ufisadi.

KAZImobile wiki ijayo imepata tunzo ya ubunifu bora 2010 kutoka COSTECH.
Naelewa Jamii Forum ni sehemu ya kubadilishana mawazo na kupeana Taarifa lakini kwa ku-critisize irrationally sio jambo la msingi kwa dunia ya leo....

Unakaribishwa kwa maulizo zaidi asante !
 
HUU NI WIZI MKUU SIMPLE! NYINYI SI NDO MNATUMA TUU ILIMLADI PESA IINGIE. MTU KAOMBA DRIVING MNATUNA KAZI YEYOTE! NCHI INAWEZI HII.
 
HUU NI WIZI MKUU SIMPLE! NYINYI SI NDO MNATUMA TUU ILIMLADI PESA IINGIE. MTU KAOMBA DRIVING MNATUNA KAZI YEYOTE! NCHI INAWEZI HII.

THANKS HENGE,MI NILISHAWAHI JIUNGA WAKAWA WANANTUMIA MIKAZI AMBAYO HATA CJAOMBA. MBAYA ZAIDI INGINE UNAKUTA DEADLINE NI KESHO.. SASA S UPUUZI HUO.
SASA ISHU HAIKUISHIA HAPO,WAKATI ATAKA KUSITISHA HUDUMA NDO UTALIA,ILICHUKUA MUDA KWELI KUJITOA NA KILA CKU WANATUMA HATA SMS MBILI AMBAZO HAZINA MAANA.

WIZIIIIIIII...
 
Ogopa Tapeli, watu wanajua kuwaibia wenzao. Duh Tz kuna mayangumi ya ufisadi. Kazi kidogo unataka pesa nyingi?????? TCRA na nyie mnaenda tu kazini hata hamuangalii haya duh.
 
Kumbe wanakutumia tangazo!!!!!!! Na si kukuita kwenye interview or kukupatia kazi!!!!WIZI Mtupu,
Bora nisome (kazi999) hawa wanapost matangazo and kusoma ni bure kabisaaa
 
Back
Top Bottom