kuna online portal kwa ajili ya wajasiriamali wa africa mashariki ambapo unaweza kupata fursa mbalimbali za kibiashara na pia wanakupa chance ya kuweza kupost free kama unatafuta msambazaji,mwekezaji,wakala au unauza kampuni/biashara and partner katika bidhaa yako au biashara yako,inaitwa mpakasi.com,tembelea www.mpakasi.com