Je unataka juwa inbox ya mpenzi wako

Salaam tena wana forum.
Jamani naomba watu ambao amna shida na hii service naomba msichafue hii post waacheni watu wenye shida wasaidiwe!
Jamani wana forums be seriously!
tsk tsk !!! watakutafuta wenye shida hiyo, tehe tehe
 

kakaaaaa...mie nataka...unajuwa mapenzi bwana bila surprise sio mapenzi....inabidi mama ajue kweli ww ni supaman wake...hadi inbox yake wewe unaingia na kunyetishia aliyonayo...full ma sapuraiziiii....

kaka nipe mpango mzima....hii pia itanisaidia maana ninako ka-bi mdogo kamoja kati ya hawa masista duu wanaoongeza 90% kizungu...10% kiswahili cha kuokoteleza na kwa taaabu sana...kikiunganishwa na you know...nyiiingi...i need to get in her closets.

..ahahaha... ni maoni tu wadau...finito
 

mbona ushaanza kuogopa mapema? una siri gani. huyu mtaalam alete za simu fasta ndipo wenza watakuwa na adabu na matumizi ya hivyo vitu
 

acha kudanganya watu, unajua hilo ni kosa la jinai, we jitangaze tu nyie ndo mnaotafutwa - unataka kuleta mfalakano katika jamii

unavyojitangaza utafikiri wale wanaotangaza " dawa ya kumvuta mpenzi" its too local.

utakamatwa wewe acha mambo yako ya ajabu kuleta hapa.
 

Usimsifie, this is nothing special - by the way its illegal to do that. Kufanya hivyo ni sawa tu na kuchukua simu ya mtu ukaanza kuangalia inbox yake, that is rubbish thing that you never do kama mtu una akili sawasawa.

stop this crup....eti kuangalia private life ya mtu my ....
 
mbona ushaanza kuogopa mapema? una siri gani. huyu mtaalam alete za simu fasta ndipo wenza watakuwa na adabu na matumizi ya hivyo vitu

mtaalam......u need to get something to do guys.
 
eh wewe mie hata siitaki ndo maana ikaitwa password
 
Mtu kama akitaka kujua pass word ya email adress ya mkewe/mumewe si amuombe tuu! ya nini kuanza ku play ukachero wakati mume/mke ni wako mwenyewe???

Eti bwana!

Kuku wa kwako mwenyewe ! Manati kubwa ya nini?😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…