Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
4,159
Reaction score
2,844
Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.

Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.

Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na mazingira .

Nafanya renoviation ya nyumba zilizochakaa na kubadili muonekano kabisa.

Pia napatikana Instagram Kama FUNDI MAHIRI WA UJENZI

0655173113
 
Mkuu kuna eneo lipo sehemu mzuri sana, yaani ujirani wa eneo hilo ni majengo ya kueleweka na barabara ni mzuri pia. Nafikiria kulinunua ila tatizo pana asili ya bwawa, mvua ikinyesha panaweza pakia hata lita 300k. Je kwa eneo la namna hii nikilinunua nitatakiwa nifanye nini kitaalamu ili pafae ujenzi?.
 
Well tufanye nimekuelewa kwenye issue ya gharama. Je kama nikiamua ku-take risk ni gharama zipi za ziada nitaingia ukiacha hiyo ya kujaza kifusi?

Ninachotaka ni ushauri wa kitaalamu zaidi kwenye process mzima ya kupafanyia reclamation.
 
Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.

Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.

Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na mazingira .

Nafanya renoviation ya nyumba zilizochakaa na kubadili muonekano kabisa.

Pia napatikana Instagram Kama FUNDI MAHIRI WA UJENZI

0655173113
Hiyo mil 2.5 ni ya ufundi tu au pamoja na materials
 
Msingi wa nyumba ya ghorofa moja ya vyumba viwili sio self, sebule, jiko na public toilet (two in one) yaani chini pajitegemee na juu pia pajitegemee inafika kiasi gani kimakadilio, kwa msingi tu?
ikiwa nina tofali 800 nimenunua tayari.
 
Mpaka nione mchoro na landscape ya eneo husika.
 
Back
Top Bottom