Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Hiyo mil 2.5 ni ya ufundi tu au pamoja na materialsKwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.
Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.
Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na mazingira .
Nafanya renoviation ya nyumba zilizochakaa na kubadili muonekano kabisa.
Pia napatikana Instagram Kama FUNDI MAHIRI WA UJENZI
0655173113
Hiyo mil 2.5 ni ya ufundi tu au pamoja na materials
SawaPamoja na materials
Ikitokea ukaitwa mkoani utaratibu wako ukoje nani ana gharamia safari yenu.Pamoja na materials
Najigharamia.Ikitokea ukaitwa mkoani utaratibu wako ukoje nani ana gharamia safari yenu
Mpaka nione mchoro na landscape ya eneo husika.Msingi wa nyumba ya ghorofa moja ya vyumba viwili sio self, sebule, jiko na public toilet (two in one) yaani chini pajitegemee na juu pia pajitegemee inafika kiasi gani kimakadilio, kwa msingi tu?
ikiwa nina tofali 800 nimenunua tayari.