Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

Badala utupe ushauri. Kumbe unaomba ushauri. Shame on u, hawa watu hawaishagi si bora uombe msaada direct watu wakusaidie.
 
Sijaona tatizo lake. Shida ni kwamba mnataka ushauri wa jumla. Hilo halitawafanikisha. Kuna mambo mengi hivyo mwenye uzi hapa amewakaribisha.

Unakaribishwa unaingia ndani mazungumzo yaendelee. Kwenye ukulima changamoto ziko nyingi njoo na ya kwako ushauriwe.
 
Back
Top Bottom