Sijaona tatizo lake. Shida ni kwamba mnataka ushauri wa jumla. Hilo halitawafanikisha. Kuna mambo mengi hivyo mwenye uzi hapa amewakaribisha.
Unakaribishwa unaingia ndani mazungumzo yaendelee. Kwenye ukulima changamoto ziko nyingi njoo na ya kwako ushauriwe.