Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

tzhosts

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
403
Reaction score
510
Habari;

Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu.

Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu.

Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo yanakuwa na leseni,Lipa namba malipo ya kadi pamoja na akaunti ya benki na malipo ya kadi kwa njia ya mtandao.

Yapo maduka ya 300,000shs,500,000shs,750,000 na kuendelea mbayo hayana leseni,hayana lipa namba wala integration ya malipo unaweka akaunti ya benki tu.

Yapo maduka ya 75,000shs,135000shs,199,000 shs,250,000shs

Maduka yanakuwa na bidhaa pamoja na bei na unaweza kuongeza bidhaa au huduma nyingine

Utapata Mafunzo ya jinsi ya kusimamia duka lako na kuhudumia wateja.

Wasiliana nasi kwa simu info@tzhosts.com 0710323060.
 
Back
Top Bottom