Je, unataka kununua bidhaa za biashara kutoka nchi za nje?

King 5

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
24
Reaction score
15
Habari,

Kama unataka kununua bidhaa za biashara kutoka nchi za nje, kutoka Ulaya, American, Asia, Middle East countries na India, nipo hapa kukushauri na kukusaidia uweze kupata bidhaa za bei rahisi mfanyabiashara.

Ambaye yupo seriously anifuate inbox.
 
Kuna huyu Mwl.RCT yeye ameweka kila kitu wazi ..weka wazi hapa utuambie huduma yako tuchague mwenye huduma bora....sio kuita watu inbox.....siri ya nini?
 
kweli tunahtaj msaada ila ni vyema zaidi ukamwaga nondo hadharan ili tufaidike wengi.
 
Ndo majambazi haya tunayohangaika nayo kila sku na utapeli....!!!
 
Mshauri wa biashara mbona kimya tena unataka kuwasaidia wa PM tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…