Je unataka kununua gari? Utajuaje ulaji wake wa mafuta? Potia hapa upate moja na mbili kabla hujapigwa.

Je unataka kununua gari? Utajuaje ulaji wake wa mafuta? Potia hapa upate moja na mbili kabla hujapigwa.

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
VITU VINAVYO AMUA ULAJI WA MAFUTA KATIKA GARI UKIACHA CC:

1.Gear box
aina ya gear box gari inayotumia inahusika mno na ulaji wa mafuta mfano gear box ya manual ina CHANGIA ulaji mkubwa wa mafuta kuliko automatic gear box , kwa mfano gear box za DSG ambazo zina tumiwa na Volkswagen, na aid, na gear box za CVT, zinaongoza kwa ulaji mzuri wa mafuta, yani kwa lugha rahis ,gear box hizi zina mzunguko zaid wa umeme, na hazina shifting point, ukilinganisha na manual,, najua weng MTA shangaa kwa kuwa mlisha kariri kuwa manual hazili mafuta sasa Leo na kutoa ndani ya box , yan gari yenye gear box hiz na ina cc 2000 inaenda sawa na cc 1500,mfano Nissan duals yenye engine HR16DE cc1600 yenye gear box ya CVT ina tumia Lita moja kwa km 18

2.GARI KUWA HYBRID
gari zenye mfumo huu nikwamba kuna muda unaachana na matumiz ya engine na kutumia mfumo mwingine wa mota ya umeme mfano Nissan fuga varission 2012 yenye engine ya VQ35HR cc 3500 petrol inaenda km 19 kwa Lita moja

3.4WD AWD
Gari zenye mfumo huu pia zina CHANGIA ulaji wa mafuta kutokana na kwamba muda 4wd inapokuwa on mafuta yanatumiaka mengi kutokana nguvu kubwa inatumia Kuzungusha tair zote tofaut na 2wd

4.mfumo unao tumika kuingiza mafuta kwenye injin
Carburetor ni mfumo ambao hutumika Ku mwaga mafuta moja kwamoja kwenye combustion chember wakati nozzle humwaga mafuta nyuma ya intake valve, hivyo carburetor ina matumiz mabaya ya mafuta. Kwa Leo tuishie hapa.
 
Gari za manual si wanasema hazili mafuta sababu unaamua unaenda na gear gani mfano 3 ila automatic unaanzia moja kila wakati ukisimama.
 
Back
Top Bottom