Je unataka kununua nyumba za kisasa kwa bei nafuu? Unatatafuta mkopo wa nyumba?

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29




Je, unataka kununua nyumba za kisasa kwa bei nafuu? Unatatafuta mkopo wa nyumba? Tembelea maonyesho ya Darproperty expo Jumamosi hii tarehe 2-5 Mei, yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, VIP.

Ujichagulie nyumba yako kati ya zaidi ya 14,000 zitakazo uzwa papo hapo. Maombi ya mikopo ya nyumba kufanyika katika tamasha hilo na kupata majibu ndani ya siku 3 tuu.

Wataalamu waliobobea katika maswala ya sheria za ardhi, bima, ujenzi, michoro na ramani, wanakusubiri wakupe ushauri buree. Pia bidhaa mbalimbali za ujenzi kuuzwa kwa bei za punguzo.

Tamasha hili limeandaliwa na Darproperty Tanzania na kuungwa mkono na TMRC, (Tanzania Mortgage refinance Company) na kudhaminiwa na gazeti la The Citizen.

Kiingilio ni Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…