Je Unataka Kuwekeza Kwenye Mapenzi??

Mimi hii mada hainihusu, Nilisha-invest zamaaani, sasa hivi nakula Mrabaha wangu kiulaini..................................
 
yes tf suppose upo kwenye mahusiano na binti x rafiki zake wanakuletea maneno mabaya,ndugu zako hawampendi ,na wazazi wake hawakutaki hayo mahusiano yatakuwa matamu kweli?
It has never happened
It will never happen

Kila binadamu ameumbwa na instincts tofauti.
 
external factor ina nguvu sana lizzy kuwa huyaone relationship nyingi zinafail kwa sababu ya watu wa nje

Hehehhe eti nikue niyaoane.
Kama kuyaona nimeshayaona and I'll say it again and again. . . . huo ni ukichwa panzi.
 
It has never happenedIt will never happenKila binadamu ameumbwa na instincts tofauti.
ila kwenye society watu kama hao wapo na zipo relationship zinazokutana na situation kama izo ndo hapo utaJua impact ya jamii katika mahusiano
 
ila kwenye society watu kama hao wapo na zipo relationship zinazokutana na situation kama izo ndo hapo utaJua impact ya jamii katika mahusiano
Hatukatai kwamba haipo ila hao watu ni watu wanaofanya vitu kwasababu "fulani kasema. . . fulani haniungi mkono. . . fulani hapendi. . .nimesikia hivi/nimesikia vile" na sio kwasababu yeye anapenda au taka kufanya.
 
Mmmmmmmh_mimi napita hapa,...sababu sina kitu muhimu sana kwenye hayo mapenzi...........mapesa sinaaaaaaa
 

Kuna THREAD uli~comment ukadai hauna UZOEFU na MAPENZI, sa hayo yote umeyajuaje!?
 
kuna thread uli~comment ukadai hauna uzoefu na mapenzi, sa hayo yote umeyajuaje!?
nipo kozi wewe ni yule nikujuaye au nakufananisha?
 
Eti niambie we watu wengine wanaweza kufanya mahusiano yako na deshi deshi yafe?
Aisee Lizzy kuna watu wanakuwaga determined kuharibu Mahusiano ya ya watu usipime...na sasa hapo wahusika ndo mkiwa 'vichwa panzi' lazima mwende na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…